Karibu JSIRRI

Poster august 1 A 3rd Proof

Tunaamini katika nguvu ya maigizo. Maigizo yanaweza kuimarisha mahusiani katika jamii ambayo ni hitaji la msingi.

Kituo cha maigizo cha wanaokanamizwa Jana Sanskriti Centre (JS) pamoja na maigizo ya kimataifa ya familia zinazokandamizwa vimeingia katika mpango mpya wa kitengo cha kimataifa cha utafiti wa Rasilimali (Jana Sanskriti International Research and Resource Institute-JSIRRI).

JS imewahi kutumia mbinu ya maigizo ya wanaokandamizwa (theatre of the Oppressed) hasa kwa jamii za wakulima katika maeneo ya vijijini India ambapo imeziwezesha jumuiya hizo kuungana pamoja na kupambana na uonevu. Jamii hizo zilifanikiwa kujenga mahusiano baina yao na kushinda matabaka, udini na mgawanyiko wa kisiasa katika vyama. JS imeelewa kwamba kuna uhitaji wa watu wanaoishi katika maisha ya kiwango cha chini kujumuishwa katika ulimwengu wa fikra na mawazo.

Ni kwa kujihusisha katika michezo tu na aina nyingine za sanaa mtu anaweza
kupata nafasi ya kukua kimawazo, kuelimika na kuwa mshirika hai katika
kuielekeza/kuielimisha jamii. JS, katika utendaji wake imegundua kwamba
falsafa na mawazo mazuri ya kijamii yako katika jamii zilizotengwa, kat ya
wasiojua kusoma a kuandika. Mkusanyiko huo wa elimu kwa vitendo wa miaka
30 pamoja na nadharia zilizopo umeleta uzoefu katika mafunzo.

JSIRRI inapendekeza kujenga “mahusiano” ya kimataifa kati ya nchi za kaskazini
na kusini. Si tu mitandao au majukwaa au kubadilishana maarifa ambayo
inaweza kuwa kwa muda, bali kujenga uhusiano wa kudumu. Inapendekeza
kuanzisha mazungumzo ya kuimarisha utamaduni wa mazungumzo katika jamii
kupitia aina zote za sanaa. JS pamoja na uzoefu wa kufanya kazi kama chombo
cha kuunganisha watendaji duniani kote, inaamini kwamba JSIRRI itachukua
mahusiano haya ya kimataifa ya wasanii na wafanya mabadiliko katika ngazi ya
juu. Jinsi gani? Subiri kwa habari/matokeo zaidi.

Kupata sisi Facebook, Twitter, www.c-linq.nl

Translated by Justin Bahati

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s